Sunday 14 September 2014

Tambwe atishia kuondoka

Tambwe aliibuka kinara wa mabao msimu uliopita
lakini uongozi wa klabu hiyo ulikuwa unafikiria
kumchomoa kikosini hapo baada ya kutakiwa
kupunguza mchezaji mmoja wa kigeni kupisha
usajili wa Okwi ili kukidhi idadi ya wachezaji watano
wa kigeni wanaoruhusiwa kucheza katika klabu
moja.

No comments:

Post a Comment

TEAM PARTICIPATING